Objective: Kutoa mafunzo kwa walimu watakaofundisha Kiswahili kama lugha ya Kigeni/Pili kwa kuwapatia maarifa, mbinu na ujuzi wa kuwafundisha wageni na/au kuimarisha maarifa yao.
Course Category: TAALUMA ZA KISWAHILI
Offering Unit:
Kiswahili Language department -
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
Cost : 500,000 Tshs
Starting Date:
10/12/2024
Application Closed on :
22/12/2024