MAFUNZO YA KUFUNDISHA KISWAHILI KAMA LUGHA YA KIGENI


COURSE CATEGORY:
Taaluma za kiswahili

COURSE OBJECTIVES

Kutoa mafunzo kwa walimu watakaofundisha Kiswahili kama lugha ya Kigeni/Pili kwa kuwapatia maarifa, mbinu na ujuzi wa kuwafundisha wageni na/au kuimarisha maarifa yao.

KEY TOPICS

  • Dhana muhimu katika ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili
  • Mikabala ya ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili, zana na mbinu zake
  • Masuala ya msingi wakati wa ufundishaji
  • Ufundishaji kwa kuzingatia makundi maalumu
  • Utendaji darasani na mahitaji yake
  • Ufundishaji wa lugha ya kigeni/pili kwa njia ya mtandao
  • Utamaduni na masuala mtambuka.

LEARNING OUTCOMES

By the end of the course participants will be able to:

  • Mwisho wa mafunzo haya, washiriki wanatarajiwa kuwa na uwezo wa kufundisha Kiswahili kama lugha ya kigeni/pili kwa makundi na hatua mbalimbali na kwa kutumia mikabala, zana, mbinu na njia mbalimbali.

TARGET PARTICIPANTS

Wadau wote wenye raghba ya kufundisha Kiswahili kama lugha ya kigeni/pili au wanaofanya kazi hiyo na ambao wangependa kuimarisha stadi zao za ufundishaji Mawasiliano Dkt. Salome J. Kotira – 0747 841 509 Baruapepe: iks@udsm.ac.tz au salomejerome91@gmail.com Bi. Levina Kisaka: 0736 264 282, levina.kisaka@udsm.ac.tz

Offered By : Kiswahili Language - Taasisi ya Taaluma za Kiswahili

OTHER DETAILS

Course Timeline 13 days
Starting at: 10/12/2024 , ends at: 22/12/2024
Cost: 500,000

Apply Cancel